📘 Logistics Tips 21 Apr 2026 · Doctor Cargo Team

Bei za usafiri wa angani China → Tanzania — ni zipi zinazingatiwa?

Kilo, aina ya bidhaa, msimu wa ndege, na uwezekano wa consolidation — mambo yanayoleta tofauti ya bei.

Hatuweki bei kamili kwenye makala kwa sababu soko la ndege na mafuta hubadilika. Badala yake, tunatoa quotation ya siku hiyo kulingana na:

  • Uzito wa kutoza (halisi au volumetric)
  • Aina ya bidhaa (kawaida vs DG)
  • Kasi unayohitaji (standard vs haraka zaidi pale inapatikana)

Punguzo la wingi

Wateja wanaochanganya mizigo mingi au kilo nyingi mara nyingi hupata bei bora kwa kg kuliko parcel moja ndogo. Uliza kuhusu consolidation kwenye warehouse.

Pata quotation — kwa kawaida tunajibu ndani ya saa ya kazi moja.